Nimekuletea list za biashara mbalimbali.... Kamata moja ujikomboe

Hongera sana mleta mada, wewe ni mweusi lkn rohoni wewe ni bonge la white. Naamin wewe binafsi una mafanikio tayari na kama huna amin nakwambia njia ya utajiri ni nyeupe peeeeee. Alunta Continua
 
Hongera sana mleta mada, wewe ni mweusi lkn rohoni wewe ni bonge la white. Naamin wewe binafsi una mafanikio tayari na kama huna amin nakwambia njia ya utajiri ni nyeupe peeeeee. Alunta Continua
Tupo pamoja aisee
 
Hiyo fursa namba 17 utagombana na Mwijage........
 
Copy and paste hii uzi ipo hpa jamvini km ilivyo umeshindwa kutoa hata ackonowledge?
 
nimemaliza kusoma tu nkajiona milionear asante kwa kunitoa kwny giza
 
Stunter kumbe una naniliiii. Hongera lakini umesaidia wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…