INAUZWA Nimekuletea scientific calculator original Casio fx 991 kwa bei nafuu kabisa

INAUZWA Nimekuletea scientific calculator original Casio fx 991 kwa bei nafuu kabisa

Joined
Apr 19, 2024
Posts
4
Reaction score
6
Kwa matumizi bora ya maofisin na shuleni piah chuoni, hii ni nafasi kwa walimu wa sekondari,pia watu binasfi hasa walioakribu na vyuo pia wanachuo hii ni fursa kwenu

Dunia sasa imebadilika sana, serikali imefungua milango kwa wanafunzi wa kidato cha tatu kutumia calculator kwa ajili ya usaidizi katika masomo ya biashara na sayansi ie physics, chemistry, mathematics na geography

Enzi zetu sisi hatukupata nafasi iyo na hivyo Kuna wakati kufeli kwa wengi kulitokana na kukosa usiaidizi wa calculator kwa masomo ya hesabu

Tumia nafasi hii kumpatia mwanao,ndugu,jamaa,rafiki na wapendwa wako.

Mawasiliano 0699358049/ 0615091015

1713760140540.jpg
 
Back
Top Bottom