Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahahaha ambae hajapitia hio stage bado n MTT asubr ataipitia ili akue mkubwa na yyNakumbuka chating enzi za secondary
°Baby fungua mlango nakuja tulale[emoji188]
°Nimefungua njoo ndani Honey [emoji124]
°Nisogelee sweetheart na utoe nguo[emoji700]
°Baby funga macho nikukiss[emoji85]
°Nishafunga baby.
°Mwaaa
Muda huo ni usiku, upo tabora boys na huyo mjinga mwenzio yupo kilakala sec
Yan ulikua ni ujinga wa kiwango cha juu kabisaHahah!! Nikajua unae hapo hapo kumbe kiss la Wi-Fi
Hakikaa mkuuHahahaha ambae hajapitia hio stage bado n MTT asubr ataipitia ili akue mkubwa na yy
Ndio chama kilipoanzia hukoMwisho wa hayo yote unaamka unaenda chooni kupika punyeto.
[emoji23][emoji23]Yan ulikua ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa
Vipi wewe ushaacha au waendelea bado.Ndio chama kilipoanzia huko
Me mbona sijapitia kwaiyo bado kumbe nipo mtotoHahahaha ambae hajapitia hio stage bado n MTT asubr ataipitia ili akue mkubwa na yy
Nimestaafu mwaka wa tatu sasaVipi wewe ushaacha au waendelea bado.
Eeeh ucjal utakuwa mkubwa soonMe mbona sijapitia kwaiyo bado kumbe nipo mtoto
Nakuona andaeitini na ma andaeitini wenzio mnakumbushana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!! Nikajua unae hapo hapo kumbe kiss la Wi-Fi
Halafu unakuta umetumiwa kwenye kile kibahasha kidogoo!Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Halafu unakuta umetumiwa kwenye kile kibahasha kidogoo!
Heeh jamani wewe muhenga haya mambo unayaleta mpaka ugenini? [emoji16]Nakuona andaeitini na ma andaeitini wenzio mnakumbushana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah mmetishaa vijana wa 70....sisi wa late 80 tukiwa advance misimu kibao ishatoka...motorolla l6 na l7 zimetupa sana watoto wakaliDahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutake radhiNakuona andaeitini na ma andaeitini wenzio mnakumbushana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]