Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish.
Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende.
Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation.
Nakumbuka Budget ilikuja kama 1,780,000 shilling za Kitanzania. Nikasema Haya. Nikamwambia aje tuzungumze mambo kadhaa nikamchapa sana. Mpaka akawa hawezi kukaa vizuri.
Nikampa nauli kesho yake karudi Hostel. Kwa ahadi ya kuwa 2 days before nitakapatia hiyo pesa.
Siku ya Alhamis nikamwambia aache ujinga hiyo list kamtumie baba yake aone kama atakupatia hiyo pesa.
Nikamtumia 160,000 kanunue zawadi yake kenyewe. Nikablock.
Alienda pale purpose kutafuta sponsor.
Pengne hizo 160k alipata 3 au 4 kutoka kwa wadau wengine.
Usiamini sana hawa wanachuo wa Dsm.
Binti kuja kusoma chuo Dsm tayar ni kaz tosha .
Kuna kabint nilikutana nako kazuri sana miaka ile ya 2016 hiv.
Kalikuwa kanasoma pale Sayansi. Ustawi wa jamii.
Kanakaa off campass(amepanga Sinza Palestina), yuko private (Hana boom na anajilipa ada), alaf et alikuwa anamtunza mama yake yuko Taboraππππ.
Na hela anatuma kijijini.
Na kanakunywa savanna hata hakilewi.
Ambiance anapajua pia πππ
Ila kazur kweli kalikuwa. Pisi haswaa.
Pole sana bro... Kuna mbegu umeshapanda tayari, muda utakuja na majibu sahihi....