Nimekumbuka Singida (Mnyaturu mimi)[emoji41]

Mkuu nilianzia kazi Ushora kama unapasikia miaka hiyo dah! Maisha haya
 
Mtinko,Nduguti, Sepuka, Ikungi,
 
Mitaa ya Singida..... Kindai, Utemini, Kibaoni Mitunduruni, Unyankindi, Ipembe, Ukombozi, Mwenge, Kititimo, Ginnery, Jovena, Singidani, Sabasaba, Uwanja wa Ndege, Unyanga, Mwaja, Bomani, Njuki, Sido, Magereza, Field Force, Sokoine, Stand Mpya mingine ongeeni kitambo sana enzi izo tunaingia Disco Jumba na Utamaduni Tsh 50 au Legho Singida Motel
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yale matani bana kwani hujui jf na mimi eti nkajifanya najua dar
hahaha najua kisura hata usiwaze

Mimi nikuage kidogo kisura, mda wa pori huu baadae ntakuona, usijifiche tu tafadhari.
 
Nilishawahi pita pita kipindi hicho wanaanzisha wilaya mpya ya Mkalama, sehemu za Iguguno,Kinyangiri,Mwanga,Msingi,Nduguti,Mwngeza!

Nimekula sana kuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…