Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
nimeipenda nyumba yenuNimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini ila dingi kauzu sana, nilipofikisha miaka 6-9 dingi alinipeleka na kuniacha singida kijijini saaana nijifunze desturi na mila za kinyaturu.
Ne guenda usempa nyonyi,
Guglya meye
Guthryura diu, gusengeya ng'ombe pende
Ne gudema gugifaghama (mieleka)
So karibuni
wanyaturu na wanyiramba
Na wengine
View attachment 1138090View attachment 1138093View attachment 1138097
Hahaha ile uliyoiweka sijaielewa kabisa mm nilishakuzoea na hii mdakachoziHahahahaha
Nilivyoupata tu nikakimbia chap kwa haraka nikabadilisha!
Nimeona nisikuangushe mshabiki wangu nimeamua kuirudisha!Hahaha ile uliyoiweka sijaielewa kabisa mm nilishakuzoea na hii mdakachozi
AbeeeeeeeWanakuja mkuu ndugu zako wanyaturu mkujee mnaitwa huku
habarikeee
Nyie ni mashemeji zangu.
Asante sana kwa kunipatia mke
[emoji4][emoji4][emoji4]Nyie tu nafasi zenu mm nipo jamani
[emoji4][emoji4][emoji4]Daslam ata sipajui
Hahaha eti mshabiki wanguNimeona nisikuangushe mshabiki wangu nimeamua kuirudisha!
Eeeenh lini ulikuwa mnyaturu etiAbeeeeeee
Sijalala tena jamaniEeeenh lini ulikuwa mnyaturu eti
Halafu ulijifanya unaenda kulala nimekuzoom tu ulivyokuwa unazurula humu
Ebu niambie kuhusu lindo lindo gani hilo
Sis wa kusini mwa Tanzania nani atuoe sasaNatafuta mke toka Singida