Mjukuu wa taifa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 489
- 458
Habari zenu ndugu zangu!...
Nilijamiana na mwanamke kwa bahati mbaya condom ilipasuka pindi nafikia mshindo. Nilichokifanya nilisitisha kuendelea na tendo kisha nikajifuta kwa kitambaa laini kabla ya kuosha uume wangu.
Wasiwasi wangu ni je Kama atakua na maambukizi yanaweza nifika japo sikua na mchubuko wowote Wala kuhisi Maumivu yoyote Yale?
Mwenye uelewa naomba anijuze?