Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,455
Ukweli kuna wakati unafikia hapa duniani inakuwa kama hujawahi kuwepo, kila binadamu ni historia baada ya kuondoka kwake, Leo nimemkumbuka sana ndugu yangu member mwenzetu wa siku nyingi hapa JF Marehemu Mohamed Mtoi, ambae alifariki kwa ajali Akitokea kwenye kampeni,
Alikuwa msomi wa aina yake, nilikuwa nampenda sana kwa busara zake na majibu yake hapa jukwaani,
Upumzike kwa amani brother
Alikuwa msomi wa aina yake, nilikuwa nampenda sana kwa busara zake na majibu yake hapa jukwaani,
Upumzike kwa amani brother