gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 394
- 376
Ndio maana NO REFORMS NO ELECTION Inatakiwa ipewe nguvu..Hayo yote yanaletwa na CCM kutokua na usimamizi madhubuti wa taasisi zake mwisho wa siku wanawaua watanzania kwa mengi.Kama upo dar uwe makini na sio pombe tu hata maji fake yapo kibao
Kuna Maji ya masafi ya Mo nilikunywa nikapata typhoid Kali
So kuwa makini brand zinchezewa Sana now
Pombe zitawaua nyieWakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu.
Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
View attachment 3381593
Black market zipo kwenye Pombe mkali Mkuu, Hizo beer wanasema hazilipi kabisa kutengeneza FakeKama upo dar uwe makini na sio pombe tu hata maji fake yapo kibao
Kuna Maji ya masafi ya Mo nilikunywa nikapata typhoid Kali
So kuwa makini brand zinchezewa Sana now
Toka wameweka lebo ya safari cup hizi bia zimekua kali sana
Ukaogopa kuwailiza pale pale? hio ni utajiri kwako, sema sasa Watanzania tulivyo mazezeta na kondoo, uliogopa hata kuhoji paleWakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu.
Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
View attachment 3381593
Tatizo linaaanzia hapo sasa๐๐Huo uchafu si ndio pombe yenyewe?? Kutoboa hii Ukute wakili mdau wa iyo bia na hakimu nae mdau ndio watakusapoti ๐๐