round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
ilikuwa kabatini lakini mara ya mwisho kuitumia ni miezi mitatu iliyopitaDuuu na ilikuwa kwenyee cm muda wt mkuu au kabatini
Yaaah miezi mitatu...anapewa mwingine otherwise umetoa report kablailikuwa kabatini lakini mara ya mwisho kuitumia ni miezi mitatu iliyopita
Ina maana mtu asipotumia laini miezi mitatu tu inafungwa ?
Miezi mitatu michache sana labda iwe mwakaYaaah miezi mitatu...anapewa mwingine otherwise umetoa report kabla
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie
Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti.
Hili jambo limenishangaza sana juu ya privacy ya namba zangu, kwa bahati nzuri haikuwa namba nayotumia sana.
Kwanini hatupewi taarifa pale namba zetu zinapobadilishwa usajili ?
Mfano akaunti yangu ina kiasi cha shilingi 2000, bado wataifungia!? Kama wataifungia, nini itakuwa hatima ya fedha yangu!?Yaaah miezi mitatu...anapewa mwingine otherwise umetoa report kabla
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hayo ni miongoni mwa mambo ambayo TCRA wanapaswa wayatolee ufafanuzi wa kina kabisa.Mfano akaunti yangu ina kiasi cha shilingi 2000, bado wataifungia!? Kama wataifungia, nini itakuwa hatima ya fedha yangu!?
Cha ajabu ambacho huwa najiuliza bila kupata majibu:Yaaah miezi mitatu...anapewa mwingine otherwise umetoa report kabla
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umenipa maujanja.Kopa kwanza kabla ya kuitia kabatini.
Mimi nilikopa voda na tigo kabla sijazitia kabatini laini zao kwa muda usiojulikana.
Mpaka sasa ninazo na nadunda nazo pamoja na kwamba sijazitumia wala kuziwekea vocha karibu mwaka sasa.
Nafikiri TCRA na mitandao ya simu waweke namna ya mtu Kuhold namba yake kwa kutoa Taarifa moja kwa moja kutoka kwenye namba yake ya SIMU kwa Kuihifadhi kwa ajili ya Matumizi ya Baadae.Kiteknolojia linawezezekanaHayo ni miongoni mwa mambo ambayo TCRA wanapaswa wayatolee ufafanuzi wa kina kabisa.
Ila kwa kweli haya mambo ya laini ya mtu mmoja kupewa mtu mwingine naona hayako poa kabisa. Waachane na huo utaratibu.
Yaani Hata wiki haijaisha kuna jamaa nilimpigia simu baada ya kutowasiliana naye kwa muda mrefu , nashangaa anapokea mdada. Namuuliza imekuwaje ananijibu hiyo laini anayo karibia miezi mitatu sasa. Na usajili ni wake hata ukiangalia kwenye huduma za kipesa.
Cha ajabu ambacho huwa najiuliza bila kupata majibu:
Unapoenda kwa wakala, kuna namba(line) mpya maelfu zinazosubiri wateja!
Cha kushangaza, ukipokonywa namba huwezi kurenew tena kwa namna yoyote, maana huwa imeshauzwa!
Swali: namba wanazopokonywa clients huwa zina utamu gani kununuliwa ghafla kwa kasi ya upepo na huku namba mpya zikiwa zimerundikana bila usajili wa haraka?
Tunanunua namba kwa pesa na kumilikishwa kuwa ni mali yetu binafsi, wanapoipokonya bila fidia huo siyo uharamia na wizi?
Hawaoni kusajili kwa njia ya Nida na kisha kuporwa ni kuhadaa taarifa na falagha za watu?
Pia kuleta usumbufu mkubwa kwa anayeinunua namba ya zamani ya mtu mwingine kwa kuendelea kupokea simu zisizoeleweka kwa muda mrefu na usiojulijana?
Nafikiri TCRA na mitandao ya simu waweke namna ya mtu Kuhold namba yake kwa kutoa Taarifa moja kwa moja kutoka kwenye namba yake ya SIMU kwa Kuihifadhi kwa ajili ya Matumizi ya Baadae.Kiteknolojia linawezezekana
Uko sahihi.Jambo hili linapaswa kutazamwa tena upya kutokana na unyeti wake.
Ni lazima kabisa Serikali kupitia TCRA iweke Wazi kabisa kuhusu HAKI na WAJIBU wa Wamiliki hao tofaufi wa SIM Card kuhusiana na masuala haya ya kubadilisha Mmiliki wa SIM Card za simu kwa sababu suala hili linahusisha Usalama wa Taifa. Tukumbuke kwamba, suala la Usalama wa Taifa zima linaanzia na Usalama wa mtu mmoja mmoja katika Jamii.
Hata Halotel pia wana fanya hivyo, Tena Halotel hata ikiwa hewani kama huweki vocha mda mrefu wanafuta usajiliilikuwa kabatini lakini mara ya mwisho kuitumia ni miezi mitatu iliyopita
Ina maana mtu asipotumia laini miezi mitatu tu inafungwa ?