Nimekuta SMS ya I miss you kwenye simu ya mpenzi wangu, nifanyaje?

Kwahiyo hata kama ni Dada'ke au ndugu yake yeyote kumtumia SMS kwamba amemumis ni kosa jamani..!!!

Acha wivu wa kishamba! Utakufa mapema Kwa presha ya kichina wewe!
 
Swali hujajibu
Apashe kiporo au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…