sasa we unahisi ni dawa ganipain killer madam una uhakika pain killer gani kubwa vile
mkuu sina aman pengine anaugonjwa wa akili au ana magonjwa sugu yasiyotibika afu ukamuoa mambo yakawa mengiKupiga demu kavu kwa Zama hzi ni moja ya ujasiri wa hovyo hasa Kwa nchi kama Tanzania iliyopo kwenye top ten ya VVU Worldwide , na victim wakubwa ni hawa mabinti below 26 , kupiga kavu jilipue Kwa mke wako tuu
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea sina
Sina hakika sana ila ninkama vidonge vya kuzuia bleeding,kuna wadada wanatoka damu saaana sasa hvyo vinasaidia kupungua tatizo hilo,au maradhi tu yakutoka damu sana kutokana na maybe allege flani hv,muulize tu kawaida atakujibu.Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
hujasoma vizuri nilliiba kimoja lkn nikakipoteza na picha sikupiga ila nakumbuka ni CYNEX vikubwa rangi ya maziwaWatu Kweli ni wavivu siku hizi, then Hivi wewe kweli Ni MWanaume ? Yaani unawoga hata wa Kumuuliza Mkeo, Kwamba My Love nimeona Vidonge kwenye Pochi yako unaweza kunieleza ni kwa matumizi gani ? .... si hivyo tu unapatajibu ..... au chukua jina la vidonge ingia Google unapata jibu, au piga picha, nenda kwenye duka lolote la dawa waulize Unapata jibu ..... lakini waaaapiiii ..... siku moja mtu atauliza
" Wadau nina miaka 40 na leo nimegundua nina tundu Matakani hivi hili tundu kila mtu analo na linaitwaje ? )
Kwa Uvivu huu maswali kama haya yanakuja wadau.......
Mkeo mwenyewe anaweza akawa analiwa na vi boda vya 2000 vile vile.Kupiga demu kavu kwa Zama hzi ni moja ya ujasiri wa hovyo hasa Kwa nchi kama Tanzania iliyopo kwenye top ten ya VVU Worldwide , na victim wakubwa ni hawa mabinti below 26 , kupiga kavu jilipue Kwa mke wako tuu
ngoja nitamuulizaSina hakika sana ila ninkama vidonge vya kuzuia bleeding,kuna wadada wanatoka damu saaana sasa hvyo vinasaidia kupungua tatizo hilo,au maradhi tu yakutoka damu sana kutokana na maybe allege flani hv,muulize tu kawaida atakujibu.