Tumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
Akizaliwa mtoto wa kike tu unajua shida ipo kwa mama eeh? Shida ipo kwako😅p2 nyie wa mama mna mambo halooo
ndio maana mnatuzalia watoto wa kike tu
'Suppostori', ni pain killer ama ni dawa za kuua fungus za ukeni.sema mkuu kama unavijua ni vinatumika kufanya nini
Mungu amrehemuUnajifanya kapteni Komba sio hahaha
duu kweli torpedo kweli unajifyatulia kwa matako'Suppostori', ni pain killer ama ni dawa za kuua fungus za ukeni.
Hazimezwi, hutumika kwa kupachikwa ukeni.
Dawa za namna hiyo pia hutumika kupachika sehemu ya haja kubwa kwa watoto wenye degedege.
Kwa huyo 'mkeo' kuna mawili, aidha anajitibu fungus au kupunguza maumivu.
hii ni hatari sana haloo imagine men wakakupa unaweza jitoa malinda bure maana ni vikubwa
unaweka afu unatembea mbona unaweza kukinya mkuu mda wote unajishika matakoni
Hatari hiyooTumsifu yesu kristo./ asalama leko
wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake.
Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua simu kwa wakati. so pochi akawa ameiweka kabatini ile nachukua naenda kuchukua simu nikaona vidonge vikubwa vikubwa vigumu na haviko na unga kama vidonge vya kawaida kwa shape vipo kama TORPEDO. vimekaa kwa mstari vinene😳😳
mwili wote ulisisimka niliiba kimoja nikichunguze sijui nilidondosha wapi haki hata hamu ya kugonga ilinikata
Na hajawai kuniambia anachangamoto nimeondoka sasa ila kumbu kumbu ipo kichwani nimeenda kupima afya mimi nipo vizuri
Yangu ni hayo tuwe tunawachunguza kabla na kupima afya kabla ya kulala nae na kama kuna mtu anajua hivyo vidonge kazi yake aniambie maana naogopa hata kuuliza vipo vimeandika CYNEX TORPEDO kama sijakosea aisee
View attachment 3447496

Kama risasiTumsifu yesu kristo./ asalama leko

Suppository inatibu Bawasiri Sugu kwa hizo alizoonyesha issue itakua ni rectum sio Vagina hamchunguze mtu wake atampa majibu akague ****** wake atajionea mwenyeweView attachment 3448197
Gynex VIGINAL PESSARIES case closed
Mkuu, anusol suppotiries nazijua zina mfanano huo hata paracetamol suppotiries zina mfanano huo so kwa kua jamaa hajui which is which itoshe kusema hiyo ni probably anusol au gynex v pessKwa ajili ya kuingiza Mkunduni labda ana tatizo la Mgolo yaan Constipation anakunya mavi magumu sana hali matunda kwa wingi na vyakula vywenye nyuzi nyuzi