Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

I bet itakua fungus.
 
vidonge aina ya CYNEX hutumika kitaalamu kutibu hali zinazohusiana na kutokwa kwa damu nyingi, kama vile hedhi nzito au bleeding kwenye matibabu mbalimbali.
 
Kwa msaada wa mimi age-go. Si huwa mnasema sisi ni wajomba hatujui mitandao haya shika jibu hilo.
 

Attachments

  • Screenshot_20250821_203759_Chrome.jpg
    255.9 KB · Views: 27
🤣🤣🤣
 
mmh lkn hata angesema tu mi sina noma mbona siwezi lazimisha kupiga mtu ako anatoka damu bro ningemuonea uruma kumeza midonge vikubwa vile
Kwanza za kuzuia bleeding tunazijua sio hizo
Hizo zina kusudi jingine kabisa
 
Dawa zinazotumika kwa kupitia njia ya haja kubwa , ziko za matumizi tofaut mfano kutibu bawasiri, dawa za maumivu na kulainisha choo
View attachment 3447434
Haja kubwa ni anusol zinaingizwa tunduni, hizi za manzi ni cynex za kuingiza kwenye uke..
Nasubiri malaya waje hapa watoe majibu ila naona wamebunda tu kama vile hii issue hawaijui kumbe ndio msingi wao
 
Mgeni NI wimbo wa late Capt John Komba wenye maudhui ya ukimwi enzi hizo .
sijakuelewa madam una maanisha mimi kuwa mimi mgeni??
Mkuu hivyo vidonge NI bomu wanadada wasokomeza kwenye kum.a na mikund u Yao au urethra Kwa lengo la kuzuia mimba
 
H

Hizo zitakua ni GYNEX PESSARIES ni combination ya Clotrimazole+Miconazole ni kwa ajili ya matibabu ya Vaginal infections like Vaginal candidiasis, Trichomoniasis, Bacterial vaginosis.
Hapa umeua na hilo ndilo jibu lake,,
Ongezea pia kuwa hutumiwa sana na wauza uchi
 
Bawasiri, mfariji anapata maumivu makali
 
Kama jinga vile! Hivi hili ni jambo la kuleta mtandaoni na una picha na jina ya dawa! Pathetic🚮
Asingeleta ungepata wapi wasaa wa kumtukana na hilo komwe lako kama kibaraza cha ficha bati?
 
Haja kubwa ni anusol zinaingizwa tunduni, hizi za manzi ni cynex za kuingiza kwenye uke..
Nasubiri malaya waje hapa watoe majibu ila naona wamebunda tu kama vile hii issue hawaijui kumbe ndio msingi wao
Suppository ni muundo wa dawa inayotumika kawa njia ya haja kubwa zipo paracetamol, diclofenac, dawa kwa ajili ya bawasiri mfano anusol hii ni brand name nyingine ni pylocaine
Pessaries zinatumika kwa njia ya uke inaweza kuwa dawa ya fangus au antibiotic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…