Nimekutamani 🀭 - Njoo tuzogoe!

Umeelezea vizuri sana na nimeelewa, ila maisha ya wanaume ni magumu sana kama ni kweli kila mwanamke unayemuona akikaa kwenye line yako basi unaanza kufantasize itakuwaje akiwa naked.
 
 
Ndivyo ilivyo, mwanaume anamtazama mwanamke mara moja tu na akili yake haraka inasema akiwa kitandani anakuwaje, na hapohapo zinaamka zile za hii type yangu au sio, then hakuna mwanaume mwenye ganzi kwa mwanamke anayekutana naye mara kwa mara iwe kazini, church, jodging, mpirani, baa, club etc, hapa bongo ni suala la muda tu, mtasogeleana muda utafika! Na hakuna mwanaume anakataa akiachiwa, hamna mkate mgumu kwa chai ni consistency tu na exposure vitafikisha golini!
 
Ni kama jogoo tu kuku mgeni lazima awe na kazi. πŸ˜… Ila Kuna wengine tumejitambua kiasi tunaweza ku control kwa muda mrefu(nimesema ku control) sio kizuia
 
Ni kama jogoo tu kuku mgeni lazima awe na kazi. πŸ˜… Ila Kuna wengine tumejitambua kiasi tunaweza ku control kwa muda mrefu(nimesema ku control) sio kizuia

Ni suala la muda tu, mtu akiamua kukufuatilia na mnakutana kila siku utamuelewa tu, labda unaweza kupiga chini kwa show mbovu ya trial, control haipo ya kudumu my dear! Sadly
 
Ni suala la muda tu, mtu akiamua kukufuatilia na mnakutana kila siku utamuelewa tu, labda unaweza kupiga chini kwa show mbovu ya trial, control haipo ya kudumu my dear! Sadly
Ndo maana tunakufa mapema. Miili yeetu ina work against us. Sometimes inabidi uwe delusional ili mambo yaende. Imagine mko peke yako na demu alaf anakushika pipe for no reason!! Unachomoaje? Ila yeye sasa gusa hata Makebo uone matusii
 
Umemisika ujue, zile nyuzi zetu pendwa πŸ˜› πŸ˜›
Watu wa humu ni kama mwezi mchanga unaweza ukafungua uzi kwa uzuri tu aki comment wa kwanza kupinga wanaofata wote ni hivyoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

NB : hakuna utamu kama kulombana na mtu anaenukia lol unajoa mpaka zambi πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…