Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Sijawahi kutamani kuwa mwanaume na hakika, kwa haya unayoyasema, siwezi kutamani. Akili yangu haiwezi hata kucomprehend matamanio ya namna hii. Hapana kwa kweli!
 
Vigezo vimenyooka mamie!


Hayo yote ni enzi za uhai wangu😅😅
Enzi gani, binti bado mbichi kabisa 😂
 
Sijawahi kutamani kuwa mwanaume na hakika, kwa haya unayoyasema, siwezi kutamani. Akili yangu haiwezi hata kucomprehend matamanio ya namna hii. Hapana kwa kweli!

Hamna mwanamke anatamani mwanaume upo sahihi kabisa ni mwanaume ndio anainfluence umfuate, ndio maana nmesema ni nafasi tu mwanaume akipata na wewe masaa kadhaa tu anaanza kubadili stori na zitaelekea kibla, utakataa ila akiendelea kufuatilia na kukumbusha mara kwa mara na akapitisha na viofa vya hapa na pale unaachia mama yangu! Ndicho nilichamaanisha
 
Yeye alinitafuta
Well, kumbe ukoo vizuri I mshangaz😋

I would say "shallow" but crazy could fit too.
Ohh noo that's deep


Fair enough😢 ndo maana twafa mapema.
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba, wengine wanaishia kuwa watazamaji tuu.
I get you mmy nimeshaelewa turn-on's zakoi
Na humo humo pia kuna contradictions a poor clever man won't sustain, Kweli hujaumbwa hujaumbika😓

Ooh okay, you need someone who can own your mind?

then ile ya kimapenzi inakuja automatically. Na hapo kwenye ya mwili, ndiyo patamu, maana naenjoy mapenzi kwa ujumla wake wote.
Hapo madamu chukua mauwa yaako, I see that in you, how you write here, nakupa credit zoote za romance💯.

Mule mule ghete 🤣🤣🤣
Ila sasa naona ume evolve huchezei tena. Una mchana mtu makavu si ndio. Ajue tu kabisa Mshangazi huu uko serious 💀
 
Binti anajificha nyuma ya umri wa 35 si bora aseme tu anataka mibaba ya wizarani ile inakuaga na skendo pembeni
35 siyo mbaba buana, wewe sema tu humo kwenye vigezo haujatosha.

Perfume za bei rahisi hazinukii anavyopenda huyo dada, vijana wanaonukia anaowataka yeye wanatumiaga manukato ya kuanzia laki 5 na kwenda juu, jipange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…