Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekuelewa, ndiyo maana sisi tulivyokua mabinti tulifundishwa na sasa tunafundisha mabinti zetu, kutokua na ukaribu na wanaume. Ukianza kukaribisha vistory story na mazoea yasiyo ya lazima hapo sasa ndiyo unajitengenezea mazingira ya kutongozwa au kuliwa.

Zamani, mwanaume unamuwekea ugumu haswa, hizo juhudi anazotumia, mpaka ukija kumpa unaona kabisa anastahili, ila naona kwa sasa mambo yamebadilika.
 
35 siyo mbaba buana, wewe sema tu humo kwenye vigezo haujatosha.

Perfume za bei rahisi hazinukii anavyopenda huyo dada, vijana wanaonukia anaowataka yeye wanatumiaga manukato ya kuanzia laki 5 na kwenda juu, jipange!
Dada acha basi kua mkweli sana aaah😆🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…