Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #361
Wewe pokea atakayekuja, mbona masharti mengi hivi?Yaani tu awe mwanamke attractive ajazilie mnyama kinamna flani, awe na macho flani hivii, awe ana sauti ya kudeeka yaani it's too much haziishi
Hapa unajaribu kunichimba mkwara au what are you trying to do 🤔?Fanya Kweli lasivyo utakuwa muhanga ww mwenyewe😅
Wewe pokea atakayekuja, mbona masharti mengi hivi?
Yaani uniahidi kuwa utanitaftia someone then uniache mataa, not jokingHapa unajaribu kunichimba mkwara au what are you trying to do 🤔?
Mtu unawaza ngono tu......
Wewe tushachelewa kukutibu, huwezi kupona 😂😂😂 hadi kaanguka kwenye kiti kwa ubuyuView attachment 3611232
Siyo all, kuna wengine wamesema wao tako si muhimu kwao wanapenda vipotabo!Trakko!
Trakko!
Trakko!
Kwa niaba ya ALL MEN
Andromeda Galaxy Binti wa zamani kama haya?Mwanamke akishakuwa na makebo basi mimi hoi bin taabani, napenda sana makebo
Nyie mlizidi uzinifuHata siwezi kueleza nikaeleweka.
kuna mmoja nilimmiliki kwa miezi michache tukawa kama mapacha kwenye masuala ya matamanio yetu.... Tuliyafanya mapenzi kama chakula ikafika kipindi wote tukiamka asubuh miguu inalia kama bawaba kisa uroto umepungua
Kama sio Mungu kututenganisha tungefia kitandani mbwa sisi🤣🤣