Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #81
Acha kujiabisha Basi[emoji23][emoji23]
Acha dharau kijana na kaa ujue kuwa muda huu kuna mti unaendelea kukomaa kwa ajili ya jeneza lako
Hujatembea baadhi ya maeneo baada ya mradi wa DMDP. Njoo kwetu Kijichi (extension ya Mbagala) uone kama huko kwenu Mbezi beach kunafua dafu. Maviwanja yetu makubwa mpaka unaweka hall la disco humo ndani, unapanda maua na kupata upepo mzuri usiyo na shaka.
Mbezi beach vurugu tupu ijapokuwa sifa ndiyo kubwa.
Huyu tumuelewe tu,huyu Ni mgeni kabisa halafu hataki kujifunza....Sasa sijui hata tunamsadiaje!
Kabisa bora nikae bagamoyo au kibaha nije mjini kila siki ila mbagala hata kwa bunduki hapana
Haahaaa Unataka kusema alivyoshuka ubungo Ni moja kwa moja msasani kwa shemeji?we mkorofiiiHivi anaweza fananishamaandazi road ya Msasani na Kijichi? Kweli tumuelewe... Afu usikute huko anakojidai nako anakaa kwa shemeji yake
Huijui Dar bro...usingediss Maeneo...Dar imekuwa sana,.Dada naijua dar yote hakuna sehem utakayonipoteza ila mbagala uko mm siwez ishi jaman tuelewane naona mnateteana sana coz maisha ya mbagala ni easy hata bei za vyumba ni cheap ila ni mateso sana.
Ndio maana nakwambia huijui Dar.....Kuna machocho watu wanapita fresh tu....unakata ferry,unakata darajani,unakata kijichi Sasa Unataka usaidiwaje Tena?shida yako unahisi unajua kumbe hujuiKuna foleni za ajabu ajabu, ajali za ajabu ajabu, wezi na vibaka kibao , mazingira machafu chafu aisee hapana kwakweli
Ahahahaaaa mkorofi mama Tariq banaaa siyo mimi...Haahaaa Unataka kusema alivyoshuka ubungo Ni moja kwa moja msasani kwa shemeji?we mkorofiii
Hiyo unayoilewa wewe nimewahi kuishi huko hata kabla ya ile barabara inayounganisha roundabout ya uwanja wa shabaha na Mlalakuwa. Kwa hivyo usidhani mimi ni mgeni sana huko Mbezi beach.Unaizungumzia mbezi beach gani mkuu?[emoji28] are you siriaz?
Ndio maana nakwambia huijui Dar.....Kuna machocho watu wanapita fresh tu....unakata ferry,unakata darajani,unakata kijichi Sasa Unataka usaidiwaje Tena?shida yako unahisi unajua kumbe hujui
Hiyo unayoilewa wewe nimewahi kuishi huko hata kabla ya ile barabara inayounganisha roundabout ya uwanja wa shabaha na Mlalakuwa. Kwa hivyo usidhani mimi ni mgeni sana huko Mbezi beach.
Nakaa Buza,MwanagatiDada unakaa mbagala eeh sio kwa kuitetea huko
Shida ya nyinyi muliokuja juzi na kufikia Mbezi beach ndiyo munajifanya kujua sana. Kwani Mlalakuwa iko wapi? Kawe road ndiyo ipi? Si ndiyo karibu na junction ya Old Bagamoyo road, au hujui kwamba hiyo barabara ikiitwa hivyo? Vichochoro vyote vya kupita pale ambapo sasa hivi ndiyo panajengwa majengo (Kawe complex I believe) tumepita kijana. Ilikuwa kabla hata lile daraja la kona anapoishi (yule aliyekuwa mkuu wa Usalama nimemsahau jina) halijajengwa na tukipita kwenye mto, ikinyesha mvua huwezi kupita mpaka upite Ali Hassan Mwinyi Road.Hapa umetupiga na kitu kizito asee[emoji28][emoji28][emoji28]. Kwa barabara ya mbezi ya chini round about ya1 inaanzia pale makutano ya mwaikibaki road na kawe road round about ya2 unakuja ikuta makutano ya mwaikibaki na whitesand road hiyo mlakua mkuu unatudanganya wewe mbezi huijui.
Usiifananishe mbezi na uko mbagala na mbezi barabara za mtaani wanaweka lami sahvi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu tumuelewe tu,huyu Ni mgeni kabisa halafu hataki kujifunza....Sasa sijui hata tunamsadiaje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kijichi unaweza ifananisha na maandazi road ya Msasani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo taratibu bas lolHivi anaweza fananishamaandazi road ya Msasani na Kijichi? Kweli tumuelewe... Afu usikute huko anakojidai nako anakaa kwa shemeji yake
Shida ya nyinyi muliokuja juzi na kufikia Mbezi beach ndiyo munajifanya kujua sana. Kwani Mlalakuwa iko wapi? Kawe road ndiyo ipi? Si ndiyo karibu na junction ya Old Bagamoyo road, au hujui kwamba hiyo barabara ikiitwa hivyo? Vichochoro vyote vya kupita pale ambapo sasa hivi ndiyo panajengwa majengo (Kawe complex I believe) tumepita kijana. Ilikuwa kabla hata lile daraja la kona anapoishi (yule aliyekuwa mkuu wa Usalama nimemsahau jina) halijajengwa na tukipita kwenye mto, ikinyesha mvua huwezi kupita mpaka upite Ali Hassan Mwinyi Road.
Ile barabara inajengwa mimi ninaishi Mbezi beach. Yale majengo yaliyopo barabarani hayakuwepo kipindi hicho mwaka 2012.
Azidili pamlomo mlongo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo taratibu bas lol