britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna ka mfanano kati ya Kamala Harris na Samia suluhu
1. Wote ni wanawake ambao wamekuwa Makamu wa Rais wa nchi zao kwa Mara ya kwanza
2. Wote wamerithi kugombea kiti cha Urais kutokana na wenza wao ama kufa au kukosa nguvu za kuendelea na uongozi
3. Wote wanategemea Propaganda sana katika kuendesha shughuli zao! Media Ina cover hadi uongo
4. Wapinzani wao wakubwa wamekoswa koswa kuuwawa na Risasi, yaan Trump kakoswa koswa na Lissu kakoswa koswa
5. Wote wana uhusiano na bara la Asia mmoja ni wa Oman na mwingine ni wa India 🇮🇳
6. Kila mmoja atashindwa Urais au ameshindwa Urais na Mpinzani wake (mmoja kashindwa Jana)
Hii ya sita nadhani unaweza malizia Ufanano wao 🙌🏼✍🏻