Ningekuwa mimi ningemlenga na kumgonga na gari wewe woga wako tu ndiyo unakuchanganya na hata hapo hutalala itakuwa ni mauzauza ya uoga wako ukione ni shida zaidi sali hivi: NAWEKA MPAKA NA ADUI ZANGU KWA DAMU YA YESU SITASHUHUDIA MABAYA KWA JINA LA YESU NA HIYO NYUMBA UIFUNIKE KWA JINA LA YESU NA DAMU YA YESU HUYO JINI WAKO HATAKUGUSA NG'OOOOOOOO NA ULALE KWA AMANIwakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
chachaUlikuwa na usafiri gani?
Halafu muda huu huu ukaweza kuanzisha uzi huu?
Majini kumbe yako hivyo?
Ndo madhara ya kutembea kwa miguu usiku hayo... kesho usirudie pumbafuwakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] watu mna maneno!!!Ni alikiba analinda tembo...Tatizo we hukukaza macho vizuri!