Khaa!! Yuko cheap sana sawa na wale wa barabarani 😀Ni kweli mkuu! Hapa wizarani kwetu kuna secretary akili zake sio lazima kuja nazo ofisini, leo boss kamsifia kuwa ana kiuno cha ukweli!
Kamwambia boss weka dau mezani nikakusahaulishe ya mkeo!
Boss akauliza ngapi? Dada kamjibu wekundu wa5! Boss kamjibu: tangulia nikukute ...... Hotel!
Ni kweli mkuu! Hapa wizarani kwetu kuna secretary akili zake sio lazima kuja nazo ofisini, leo boss kamsifia kuwa ana kiuno cha ukweli!
Kamwambia boss weka dau mezani nikakusahaulishe ya mkeo!
Boss akauliza ngapi? Dada kamjibu wekundu wa5! Boss kamjibu: tangulia nikukute ...... Hotel!
unafanya kazi ofisi moja na machangudoa
Ai nimeshtuka sana nikadhani amekutana na Lara1 kimwili kwani ni vigumu sana kwa mwanaume kutangaza hicho