Mkazuzu JF-Expert Member Joined Apr 3, 2008 Posts 449 Reaction score 557 Feb 14, 2016 #21 hivi wee jamaa mikumi huwa unafata nini au na wewe daktari wa meno?
Munyanka JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 233 Reaction score 80 Feb 14, 2016 #22 Mbwa mwitu labda
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Feb 14, 2016 #23 K 4 LIFE said: mkuu kabombe nimemuona dog mwenyewe sio mbwa mwitu Click to expand... Uliangalia kwa woga tu,ungeniambia ulisimama sawa lakini kwa pale,pengine ulivyopita tumbo lilikua linakucheza kuogopa kutokewa na mnyama dirishani
K 4 LIFE said: mkuu kabombe nimemuona dog mwenyewe sio mbwa mwitu Click to expand... Uliangalia kwa woga tu,ungeniambia ulisimama sawa lakini kwa pale,pengine ulivyopita tumbo lilikua linakucheza kuogopa kutokewa na mnyama dirishani
K K 4 LIFE JF-Expert Member Joined Jul 21, 2015 Posts 2,567 Reaction score 416 Feb 14, 2016 Thread starter #24 mkuu mkazuzu mi nadumisha utalii wa ndani.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Feb 16, 2016 #25 Mmmmh! labda naye ni mtalii pia
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,810 Reaction score 5,773 Feb 16, 2016 #26 Bila shaka K 4 LIFE ni askari wa wanyama pori maana kila siku stori za mikumi