kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Hujachuliwa msukule tu?Wakuuu poleni kwa miangaiko ya hapa na pale humu jf sio pazuri kuna member mmoja humu ana mambo ya kishirikina sana tuweni kujibu jibu watu yamenikuta
Hujachuliwa msukule tu?
Kweli yani kuna watu huwa wanatupotezea muda tuKuna wengne huwa mnatuchosho hovyo tu na kutupotezea muda kwa kuanzisha mada za kijingajinga tu,tuanze kukuhoji kama katoto kwamba ilikuje?
🤣🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aiseeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlianziwa wapiWakuuu poleni kwa miangaiko ya hapa na pale humu jf sio pazuri kuna member mmoja humu ana mambo ya kishirikina sana tuweni kujibu jibu watu yamenikuta
Sasa kwa Kumnanga hivi si ndiyo atakuroga na kukufanyizia zaidi Ndugu au?Wakuuu poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale humu JF sio pazuri kuna member mmoja humu ana mambo ya kishirikina sana tuweni kujibu jibu watu yamenikuta