Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Rakims njooni uku[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hizi vitu vipo ...mimi ni mkristu mkatoliki naweza thibitisha hili 100% ni kweli..imenitokea same tricky
Una maana gani kusema wewe ni mkristu katika hili?? Au ni yale yale mambo kwamba ni wislam tu ndio wanapata mambo haya???
 
Sasa hii uichukue uwapelekee bongo movie wakutengenezee picha lake. Utapenda mwenyewe hizo harakati za jini Mwanaisha. Unaambiwa jini atavaa shuka nyeusi na nyekundu, atakuwa na mikucha mirefuuu, wakati huu tunaambiwa jini ni bonge la toto na ana chura, ila wa bongo movie atakuwa mrefu na vikalio ka ngumi.
 
jamani nimeishiwa nguvu Mimi hakyamungu!!!!
 
Ha bado utakutana na wengi zaidi ya huyo ww kazana tu kuwashokea

(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#
 
shusha somo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…