Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Ha haaa,nipo kwny final stages za kumkacha imechukua muda mrefu coz nilizaa nae,nikikamilisha ntakumegea full story! Yaani issue km hii ukiiandikia script ukatoa movie watu wataichukulia km fiction tu ila...

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwa hiyo una katoto kajini? Hatari sana
 
Siku ya karaoke ni lini bby?
 
Haya mambo huwa yanataka utulivu sana mi lilinikuta nilimwambia sister ambae nilikua nakaa nae Kigamboni, na mama basi wakasubiri uncle atoke Msumbiji aje baada ya wiki ili tumalize maana yuko vizuri kwenye vitabu. Alipofika cha kwanza kunisihi ni kuwa niwe mtulivu, yule jini niongee nae kwa upole maana huwezi kumdhibiti kwa ghadhabu baadala yake utamkasirisha ataniona kiburi atanidhuru na hata kukufarakanisha na watu wako wote wakaribu au kukutia ukichaa baada ya kuanza tiba uncle aliniunganisha na Mzee mmoja ambaye alikuja kuwa Dingi yangu wakambo maana uncle alipata safari ya China na hata huyo mzee nae alisisitiza niwe mpole ndo nilichojifunza hasa kwa hawa viumbe na baadae huyo Mzee ilibidi awe ananitibia lakini pia anatibia kwa kumplease akubali kuniachia kwani nilikua 19 na ndo kwaanza nilikua masomoni. So wakamuomba wakanitibu akasepa ila walisema kama kweli alinihitaji atarudi baada ya miaka kadhaa kwahyo niwe attention na kama nikiona dalili nilizokazipataga kipindi cha kwanza ananifata basi niseme mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, huyo ni mpenzi jini amekutunuku

Kuna tiba moja rahisi sana inaweza kukusaidia ukiifanya kwa bidii. Chumvi!!

Nenda kanunue chumvi ya mawe sokoni alafu uwe unaweka kwny maji yako ya kuoga (nusu kiganja cha mkono)

Oga fresh ukimaliza yale maji ya mwisho (ndo yatakuwa na chumvi haswa) jimwagie na mikono kama unaoga hv huku unanenea maneno ya kujisafisha na kujinasua kwa huyo jini kisirani.

Nuia kila kitu, kama umelishwa vitu vichafu nuia vitoke, kama umechanjwa futa kama umetupiwa nuia litoke. Fanya hvyo kila siku asbh na jioni kwa siku saba, hatakusumbua tena huyo kibwengo.

Pendelea kulala na biblia kitandani

Pendelea kulala redio ikiwa on weka station za dini hasa praise power.

Mungu akuvushe salama katika janga hilo. Ila amini litaisha na utakuwa salama tu

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…