Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Yah sure ushauri mzuri. Hapo akimgonga vizuri Sasa yeye ndo atakuwa anamkontrol anatake power rasmi. Akizingua anamwambia tu kuwa hamgongi Tena hapo lazima demu awe mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa ndugu ilikuaje mzee,,wengne tunaamin haya mambo yapo so tunafuatilia kisa baada ya kisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba kumbe bdo uko alive,, kuna mdau ametoa ushaur kuhusu matumizi ya chumvi, unaeza ukajaribu pia

btw pole sana, evil is always there seeking for souls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una muogopa jinni?
 
Ukifanyiwa Ruqya kuna dawa unapewa za kutumia ndani ya mwili wako na nje ya mwili wako. Jinni akikupenda ama akikuvaa kuna vitu anaweka ndani ya mwili wako. Uwe eneo la wapi au uwe unafanyiwa maombi ya kuondolewa hilo jinni, wewe hata kama uwe Tanzania na huyo Jinni yupo Japan, anafahamu kama himaya yake imevamiwa kwa hiyo anakuja kwa kasi. Kwa sababu kuna vitu ameweka mwilini mwako kwake yeye vinakuwa ni kama Radar.

Kwa hiyo kama umefanyiwa kisomo cha ruqya unapewa na dawa vilevile za kutumia ndani ya mwili wako ili kuiharibu vitu alivyoweka ndani ya mwili wako. Inaweza kuwa ya kunywa n.k na dawa nyengine ni za nje ya mwili wako ili akikuona akikugusa tu anaungua. Hizi dawa huwa zinachanganywa na mafuta ya mgando na muathirika wa majinni anapakaa kama mtu wa kawaida anavyopakaa mafuta. Lakini kwenye hizi dawa kila mtu ana aina ya matibabu. Kingine unasomewa dua ya kukukinga wewe. Iwe shari itoke magharibi ya dunia au mashariki yake na kaskazini na kusini yake Mungu akulinde nazo.

Mwisho kabisa unapewa masharti, nayo ni ujiepushe na maasi yatakayokufanya uwe mbali na ulinzi wa Mungu.

Na kuna dawa nyengine ni za kujipaka sehemu za tundu za pua, masikioni, kwenye vidole vya mikono na miguu, kwenye macho kwa juu yake na sehemu nyengine. Na mafuta yanayotumika hapa ni mchanganyiko wa mafuta ya Mzaituni, mafuta ya ndimu na mengineyo.

Ila fahamu ya kwamba hizo dawa huwa zinasomewa kisomo cha kujikinga dhidi ya uchawi unaosababishwa na majinni na binadamu.
 
Je unaamini kuna Mungu?
 
Duh hii kiboko ..huyu waliamua kumnyoosha tu maana alikuwa ameshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…