Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wakuu kiukweli nipo addicted na Cristiano Ronaldo yaani wakuu chochote ambacho Ronaldo anakitangaza nipo tayari kukinunua kwa gharama yoyote ata akitangaza chupi au kondomu nipi tayari kununua aisee nakumbuka nilinunuaga kondomu kwa sababu niliona anaitangaza sijui ndiyo ugonjwa wa akili that why naichukia Barcelona kwasababu ya Ronaldo na pia naichukia Manchester United kwa kumtreat vibaya yeye.