Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Normal sana kwa vijana hasa kutaka kutest ladha tofauti!.Nipo aged above 30. Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa above 40. Sina hamu na wasichana/ wanawake wa rika langu. I this normal?
Nikajua nina matatizoNormal sana kwa vijana hasa kutaka kutest ladha tofauti!.
Utakuja kutulizana ukifika 50 huko!
Hauna tatizo lolote bw shee!Nikajua nina matatizo
😅Hauna tatizo lolote bw shee!
Ndiyo 😭Sasa upo above 30 unajiona mdogo?
Siku hizi wasichana wadogo ndy wenye umeme 80%Soon unakula umeme mkuu.
usijali mwanangu... it's very usual. Nilipokuwa kijana nilikuwa kama wewe.Nipo aged above 30. Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa above 40. Sina hamu na wasichana/ wanawake wa rika langu. I this normal?
Mkuu hao wamama ndo wenye Ile grade one ambayo walistruggle nayo miaka ya buku mbili kabla ya njugu.Siku hizi wasichana wadogo ndy wenye umeme 80%
Mkuu kwa sasa ukimwi upo kwa wasichana wa miaka 28 -20 ages.Mkuu hao wamama ndo wenye Ile grade one ambayo walistruggle nayo miaka ya buku mbili kabla ya njugu.
Hakimi katuchania chania mikeka kisha akaichoma moto.....Shtuka wajane sikuhizi hawana urithi
Kabisa. Ni wasumbufu Sana haoVitoto vya 2000+.asbh unaongea nae jambo ,mchana Tena uanze Tena upya,huo mda cna .mzee baba upo sahh.kwanza wamama.unakula mzigo mpaka unatosheka .ukienda kwa kitanda ni mkolomo tuuu
Alafu havijui kujiongeza ,maswali ya kipumbavu ,any time call and text.wakati tunaumiza kichwa kuhusu maokotoKabisa. Ni wasumbufu Sana hao
pamoja na maswali ya kipumbavu. Anakagua simu yako kwa hiari yake alafu ghafla Mwajuma ni nani? hilo ni swali gani sasa? Mwajuma si jina la Binadamu? maswali ya nini tenaAlafu havijui kujiongeza ,maswali ya kipumbavu ,any time call and text.wakati tunaumiza kichwa kuhusu maokoto