Nimekuwa mraibu wa punyeto

sasa cha pili cha kazi gani au kuna mtu mnashindana nae...labda kuna league
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umesema ww
 
jamani,mimi nimeathirika na nyeto nguvu za kiume nshisi kupungua zamani kusex mara 5 usiku mmoja ilikuwa kawaida tu leo moja tu chali,msaada nifanyeje
Cha kwanza acha nyeto pili kila uamkapo kabla ya kula chochote tafuna vitunguu swaumu punje tatu changanya na asali kingine fanya mazoezi ya kegel ni mazuri wiki tu au wiki mbili utakubali matokeo
 
kuna watu wanaspent hiyo nusu saa kupiga viwili na wanaridhika yeye muda huo huo wa nusu saa anapiga kimoja lakin bado anataka cha pili aisee au anataka kumtoa demu wake kizaxi labda...
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umesema ww
 
Cha kwanza acha nyeto pili kila uamkapo kabla ya kula chochote tafuna vitunguu swaumu punje tatu changanya na asali kingine fanya mazoezi ya kegel ni mazuri wiki tu au wiki mbili utakubali matokeo
ahsante my jf
 
sasa cha pili cha kazi gani au kuna mtu mnashindana nae...labda kuna league
no unajua si kila cku hivyo mara nyingine hazifiki unaacha bado anahitaji mama watoto kumbuka mazoea hujengà tabia
 
jamani,mimi nimeathirika na nyeto nguvu za kiume nshisi kupungua zamani kusex mara 5 usiku mmoja ilikuwa kawaida tu leo moja tu chali,msaada nifanyeje
Age yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…