Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?

sento

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?
 
tatizo lako wewe, halafu tukupate zaidi kupitia link uliyoweka?
 
angalie usije uka ignite, huko kwenye link siji mwenye shida humfuata mganga
 
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?

Funga nae ndoa mkiishi miaka sita tu! moyo utaacha kulipuka, kutokana na majukumu ya ndoa. Otherwise you will be kanumbadi.
 
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?

Haya ndiyo matatizo ya kuanza mapenzi ktk umri mdogo. Endelea kutii kila unachoambiwa.
 
Una evolution ya kutoka sento na kuwa mento
 
Kwani moyo kukulipuka unahofia presha, sheli ama bp? Unataka wa kukuliza?

Hongera kwa kuwa blogger mwaya
 
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?

Kwani kutii unalazimishwa? Kama hulazimishwi basi unaugonjwa wa kupenda wewe!!

Vinginevyo ni mambo ya kawaida kwenye mapenzi.
 
Kwa hiyo hata kama uko kwenye menstrual period akitaka game unampa?
 
Ahhhhhh,wachaaaaa weeeeee,,,,,,huna khiyanaaaaa....
 
Una miaka mingapi? Nahisi utakuwa mdogo... miaka ikisogea utaacha.
 
Mgeukie Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa wafalme yaani Yesu Kristo. Najua na nina hakika kama utamkabidhi shida yako ataitatua haraka sana.
The unseen is illustrated by the seen.
 
jiangalie ucje kuwa ushalishwa kitu cha limbwata au nshuntama.nshomire mmenisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…