Shalomu Tanzania!
Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana CCM mafisadi ya nchi na kimataifa
Nimekuwa nikiota, 2025 kutawaka moto mkali sana hapo NEC ya CCM
Sijui chanzo cha hayo ila moto wake huo utakuwa mkali sana kiasi cha wengine kupotea! Zitapigwa ngumi na wengine kuonyesheana siraha za moto!
Na mapigano hayo, ndoto zangu anasema, itakuwa tamati ya nguvu za jinamizi la nchi CCM
Wale wanaoipenda sana ccm licha kwamba imeendelea kuzalisha masikini wengi sana sasa! Muiombee tuu
Tuliochukizwa nayo! Sisi kwetu anguko lenu, kwetu ni sherehe!