Habari za muda huu waheshimiwa, samahani, leo nimeona nimekuwa shortlisted kwenye written interview ya accounts assistant officer OSHA (Occupational safety and health authority). Hii ni mara ya kwanza kwenda kufanya interview, tafadhali naomba muongozo wa nini nifanye au nijiandae na nini.
Natanguliza shukrani kwa msaada wowote nitakaopokea. Ahsanteni
Natanguliza shukrani kwa msaada wowote nitakaopokea. Ahsanteni