Hii hapa mkuuMkuu hebu share pdf la majina kama unalo
Mie tu kukusaidia,kama huna connection ya kuwa na mtu ama kuvuja kwa pepa nakushauri usiende,niushauri wangu tuHabari za muda huu waheshimiwa, samahani, leo nimeona nimekuwa shortlisted kwenye written interview ya accounts assistant officer OSHA (Occupational safety and health authority). Hii ni mara ya kwanza kwenda kufanya interview, tafadhali naomba muongozo wa nini nifanye au nijiandae na nini.
Natanguliza shukrani kwa msaada wowote nitakaopokea. Ahsanteni
Kijana kafanye Usaili mengine yatafatajamani mwenye kufahamu graduate wanaanza na kiasi gani cha mashahara hasa cheo cha plant inspector kwenye taasisi ya OSHA
Usimkatishe Tamaa mwenzio mkuu ww nenda Ila Dah inataka Moyo watu 650 Huko alafu wanataka watu 3 hapo bado Wapemba wanaasilimia Yao.Mie tu kukusaidia,kama huna connection ya kuwa na mtu ama kuvuja kwa pepa nakushauri usiende,niushauri wangu tu
Usimkatishe Tamaa mwenzio mkuu ww nenda Ila Dah inataka Moyo watu 650 Huko alafu wanataka watu 3 hapo bado Wapemba wanaasilimia Yao.Mie tu kukusaidia,kama huna connection ya kuwa na mtu ama kuvuja kwa pepa nakushauri usiende,niushauri wangu tu
Sio kwamba namkatisha tamaa mie nilishaendaga sana hapo tume ya ajira,nilichokiona na kukishuhudia kama ana hela ya mawazo ni bora asiende,Unajua niliendaga kama mbili nikakuta pepa zimevuja sasa mpaka hapo utakuwa unaenda kwenye intaview ama mtu unaenda kuharibu tu helaUsimkatishe Tamaa mwenzio mkuu ww nenda Ila Dah inataka Moyo watu 650 Huko alafu wanataka watu 3 hapo bado Wapemba wanaasilimia Yao.
Usikute mwenzio Yuko Dar au Yuko mbali mto mada unaishi wapiSio kwamba namkatisha tamaa mie nilishaendaga sana hapo tume ya ajira,nilichokiona na kukishuhudia kama ana hela ya mawazo ni bora asiende,Unajua niliendaga kama mbili nikakuta pepa zimevuja sasa mpaka hapo utakuwa unaenda kwenye intaview ama mtu unaenda kuharibu tu hela
Mkuu, kumbe pepa Huwa zinavujaga..?Sio kwamba namkatisha tamaa mie nilishaendaga sana hapo tume ya ajira,nilichokiona na kukishuhudia kama ana hela ya mawazo ni bora asiende,Unajua niliendaga kama mbili nikakuta pepa zimevuja sasa mpaka hapo utakuwa unaenda kwenye intaview ama mtu unaenda kuharibu tu hela
Mkuu share maswali ya accounts tupate uzoefu humuuHabari za muda huu waheshimiwa, samahani, leo nimeona nimekuwa shortlisted kwenye written interview ya accounts assistant officer OSHA (Occupational safety and health authority). Hii ni mara ya kwanza kwenda kufanya interview, tafadhali naomba muongozo wa nini nifanye au nijiandae na nini.
Natanguliza shukrani kwa msaada wowote nitakaopokea. Ahsanteni