Nimekuwa sugu

Tulia kijana wakwako anakuja utapenda balaa hao ni viruka njia tu.
 
<br />
<br />
Wewe ndio mtu sahihi kwangu! Nahitaji mtu wa aina hiyo sio kugandanagandana kama ruba!! Hebu ni Pm ndugu twendeleze libeneke !
 
Ni kawaida, ila kuna siku utakutana na malaika wako, utajishangaa kama ni wewe ulikuwa unaongea haya maneno
Haya mambo ni ya ajabu sana mkuu
 
Mpaka sasa habar ya kupenda huwa nahis ni story tu. Kote nilikodhan nimependa, niliambulia patupu. Sijui huko mbele ya safar, maana meng niyafanyayo yamekuwa maigzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…