sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nikiingia kitandani naanza kupiga mizunguko jamiiforums, quora, youtube, fb, ressit, whatsapp, n.k yani kama huko reddit nikiingia subredits kama askreddit, off my chest, today i learned, iama, just start, n.k ndo mda unapepea si mchezo
Kuja kustuka saa nane ishagonga hapo na inabidi niamke saa 12 na nusu kujiandaa kwenda kazini, siku nyingine naamka saa moja kwajili ya uchovu.
Yani imekuwa kama uraibu sasa hadi nimeanza kujiogopa.
Kuhusu bando sina uhaba kabisa maana kila siku nina allowance ya gb 3.
Nashukuru jitihada za mke wangu kunishauri lakini imekuwa ngumu sana kuacha hii tabia. (Wenzangu wenye familia sihitaji kuwawekea maelezo ya ziada ila sitashangaa wavulana wakianza kufikiria kwamba sitekelezi wajibu flani ili kuonekana wajuaji 😂😂 )