rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,238 Reaction score 5,106 Nov 10, 2013 #1 Niko ughaibuni. Ninataka kufafanua kitu fulani kwa kizungu lakini nimeshindwa kujua KWALE anaitwaje kwa kingereza.
Niko ughaibuni. Ninataka kufafanua kitu fulani kwa kizungu lakini nimeshindwa kujua KWALE anaitwaje kwa kingereza.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Nov 10, 2013 #2 rushanju said: Niko ughaibuni. Ninataka kufafanua kitu fulani kwa kizungu lakini nimeshindwa kujua KWALE anaitwaje kwa kingereza. Click to expand... Unazungumzia kwale yule ndege? Huyo anaitwa partridge.
rushanju said: Niko ughaibuni. Ninataka kufafanua kitu fulani kwa kizungu lakini nimeshindwa kujua KWALE anaitwaje kwa kingereza. Click to expand... Unazungumzia kwale yule ndege? Huyo anaitwa partridge.
jesse alibalio JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 268 Reaction score 49 Dec 2, 2013 #3 Atakuwa anapatikana huku Afrika pekee,hana jina la kizungu huyo.
C catherine B New Member Joined Sep 27, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Dec 3, 2013 #4 Kuna maneno mengine asili take huwa inabaki pale pale kama LA kwale