Hapa ofisini kwetu washroom ina vyumba viwili tu for ladies and gents. Vimetenganishwa na partition ya kioo kigumu kwenye aluminium panel, hivyo ukiingia mtu akiwa the other room unamsikia vizuri (lakini haonekani of course). Sasa kila ninapoingia upande wetu wa gents kama ule upande wa ladies una mtu huwa nakwazika sana. Sorry folks.
Usijali sema ya moyoni uwe huru. Haipendezi hasa kama tumbo limegoma siku hiyo.
au usiwe unaingia huko
Upo ofisi gani nije kukutembelea tena nitaingia washroom halafu nakojoa ule mkojo wa sauti noo kujibana na kuimba juuu:teeth::teeth::teeth:
Upo ofisi gani nije kukutembelea tena nitaingia washroom halafu nakojoa ule mkojo wa sauti noo kujibana na kuimba juuu:teeth::teeth::teeth: