junior ssori
Member
- Mar 21, 2023
- 12
- 38
Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta.
Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama ni mimi mtumishi ninafanyiwa hivi embu imagine hospitali madaktari na manesi wanajifanyia kazi kwa mazoea halafu hospitalini hakuna
1. Panadol
2. Mabomba ya sindano
3. Kupima typhoid unalipia 5000 ili hali unakatwa bima
4. Hospitali ya wilaya ina choo kimoja kweli na ni mkoa wenye kipindupindu kila leo hakiishi
Rais Samia kama huyajui haya unachonganishwa na wananchi kwa makusudi ambayo yapo very strategic jitathimini mama adui zako sio mbowe lisu mnyika wala marehemu mzee meddy kibao una wapuuzi wamekuzunguka
Shame on you jenesta muhagama one of the poor brain minister