Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

The MaskmaN

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
350
Reaction score
764
Habari za humu JF

KAZI IENDELEE!

Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.

Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto wetu tukiwa nyumbani haututoshi. Hivyo mam sapu akaamua kumuagizia jirani yetu aliyekuwa kaenda mkoani kwao kuwa akija amjie na mdada wa kusaidia kazi za pale nyumbani pindi tunapokuwa mahangaikoni.

FUPISHA STORY!

Ndani ya miezi 6 yote hiyo nimekuwa nikitoka kazini huwa nawaletea vizawadi familia yangu ila kama binadamu huwa sisahau kumletea dada yetu nae zawadi either t-shirt or gauni ama bites bites hizi ili nae asijione mpweke pale home. Toka huu mwaka umeingia nimeanza kushuhudia vituko vya huyu binti,umri ni miaka 22/23

VITUKO:
Nikiwa natoka asubuhi kwenda kazini (kawaida yake kuja kufunga geti), mke wangu yeye huwa anachelewa kutoka ila mie natoka mida ya alfajir sana, nina mkuta huyu binti katoka bila blauzi yani matiti yapo wazi[emoji848] na wala haogopi wala nini anafunga geti then anarudi zake ndani.

Nikiwa natizama mpira sebuleni mida ya usiku atatoka/kupita kuchukua maji kwenye friji ila "Shanga" zake kazitoa kwa nje afu kavaa kitaiti tu.

Kuna siku kanitumia meseji whatsap kuwa anaomba nikirudi nimjie na pedi/mkate kwa wadada[emoji848] sijakaa vizuri naona meseji ya image,kufungua kanitumia picha kunionesha "mbususu" yake ina damu kama ushahid kuwa aongopi ana bleed.

Baada ya masiku kadhaa kanitumia tena meseji kuwa nimepona shem,sijakaa vizuri picha kufungua "mbususu" imekauka kuwa ananiambia kapona[emoji848]. Sasa zingine ananitumia meseji shem wahi basi kurudi nimekumic[emoji848].

Kubwa kuliko kuna siku kaniandikia shem nakuonea huruma sana, nahisi dada hakupatii na mwili wako huo hebu jifanye kama umesahau chumba uje nikuoneshe dunia ya raha ipoje! Tena nitakupa kitu najua hajawahi dada kukupa hata siku moja!

N.B
Haya yote yanatokea na kutumwa kwenye simu yangu sijawahi kumshirikisha au kumwambia mtu yoyote yule.

Mke wangu naamini nikimwambia hilo fasta atakimbilia kunishutumu na inawezekana kabisa aka conclude kuwa mie nalala na huyo binti.."NAMJUA MKE WANGU NDIO MAAANA NIMEKAA KIMYA MUDA WOTE HUO".

Nilipo sema "Jini" nikimaanisha balaa,shankupe,mzoga,mcharuko ama mapepe.

HUYU MDADA /BINTI HAKIKA MASHAALLAH AMEJUA KUWA BINADAMU KIMWILI HASWAA...NYUMA TURUBAI HAITOSHI KUFUNIKA MZIGO. YAANI KIGOLI HASWAAA.

NISAIDIENI JAMANI NIMUEPUKE HUYU BINTI MAANA HII NI KESI.
 
Habari za humu JF

KAZI IENDELEE!!

Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.
Huyo sio jini, ni binadamu wa kawaida tu, ila anaipima akili yako.
Biblia inasema AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA.

Utaharibu familia yako kwa ujinga na tamaa zako
 
Kubwa kuliko kuna siku kaniandikia shem nakuonea huruma sana, nahisi dada hakupatii na mwili wako huo...ebu jifanye kama umesahau chumba uje nikuoneshe dunia ya raha ipoje!! Tena nitakupa kitu najua hajawahi dada kukupa hata siku moja!
Sasa si upotee chumba basi brother lake
 
Sijaona ujini hapo..!! Kifupi anakuta sema tu mkuu huna mzukaa wa ku chakata hiyo papuchi...
kama una ona kero sikunyingine umpe uhuru day off aatoke akashange mji anaweza kupata boya wake akama tuliza hizo genyee..
 
Back
Top Bottom