nimelia hadi nimechoka ....... hii ni fair jamani?

Una bahati kwenu vibabu sio vichawi...
Ingekuwa kijijini kwetu saa hizi hapa MMU tungekuwa tunaliaje...
 
OTIS space bar yake ina mushkeli kidogo usijali.:tape: Smile pole....alianza kukusifia umpe hela sasa hukumpa akakuponda...usijali ndio mambo ya vijijini hayo...wale hata mia tano wanaridhika...next time weka mia tano tano za kutosha kwenye pochi...
sawa mkuu .... maana cha moto nimekiona
 
sikuwa nayo kweli....

We utaendaje kijijini bila kuchenji buku 2, 2 nyingi unatembea nazo mfukoni.kwenye pochi? Narudia tena, ingekuwa kwetu ungelogwa...
 
We utaendaje kijijini bila kuchenji buku 2, 2 nyingi unatembea nazo mfukoni.kwenye pochi? Narudia tena, ingekuwa kwetu ungelogwa...
huku kwetu jeuri ya kuloga hawana huku ni kilusinde tu....
 
hahahaha...viongoz na wafuasi wa ccm kwel hamnazo...pole sna wangu wa moyo smile..
 
mimi nimeelewa Smile havai yeboyebo kama wengine
baasi....lol
 

pole sana,alipokua anamwaga sifa alitegema kupata hela kutoka kwako ulipomnyima ndo akamwaga kashfa.tambua yale ni maneno ya mkosaji tu
 
mungu wangu
huto lala leo usiku, bora umfate umpe ata jelo.
CHAKULA YA BABU
 
hahahhaha ukute hio simu aliyokuwa anapiga alikuwa anazuga tu,simu yake haina credits za kupiga...:love:
 
yaani wewe unanicheka my dia.... nimfanyeje?

Huyu wewe jifanye kama umesahau hivi... tafuta elfu kumi halafu siku moja ukikutana nae, au kumkomesha mfuate kabisa kwake halafu unitoa kama unampa hivi unamwambia babu nimekumbuka uliniomba hela nimepata hii hapa.. akinyoosha mkono kupokea mwambie, hapana nimekumbuka ulinitukana sana mi mjinga, kwa hiyo sikupi ujifunze uungwana.. then unaondoka huku unatembea kwa maringo ukijitingisha na tabasamu pana kama dada mmoja kwenye tangazo kwenye TV... hapa lazima atajifunza .. tena kwa uswa wa kijijini....:wave::wave::wave:
 
Pole sana Smile . Wenzio tukienda kijijini tunahakikisha tuna buku buku za kutosha. Siku nyingine jiandae kabisa!
 


sasa nini kinachokuliza?
 
[FONT=comic sans
ms]Sasa Smile na wewe ulikosa hata jero ya
kumpa? Ungempa tu akutafutie mume, mwenyewe si unajua ilivyo kazi
kumpata mume bora?[/FONT]

Mh! Huyo angekuwa 'BORA MUME'
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…