nimelia hadi nimechoka ....... hii ni fair jamani?

hahahahah smile, wewe smile tu mana huo ni upepoooooooooooooo....but guy,umenifanya nicheke sana,hhahahahahahaaa
 
Smile unaonekana hujaenda kijijini muda mrefu sana, hao ndiyo wazee ambao hawana dira wala mwelekeo, huna budi kumpotezea hana jipya kule Nairobi tulikuwa tunasema ameshatupa mbawa .... yaani amepoteza mwelekeo. kweli ungempa hata jiti angekumwagia sifa kemkem.
 
hahahahaha we dada nimechekaje jaman,lol hii ndo Tz bila akila utakufa njaa.huyo babu noma
 
hana lolote mwaya,btw mtu mzima hatishwi nyau. pole shostito!
 

Wewe smile unaenda Kule Moshi bila pesa ya Albamu na vitochi kweliiiiiii..Uwiiii yesu na maria
 

mpe buku kumi bhana
 
hahahaa,kuna story nyengine zinachekesha kweli yaan,mzee asikutie tumb joto huyo my sister, mzee midato huyo ,ww mwenywe hukufahamu ,mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea upuuzi kama huo ,huna makosa ,just binaadamu walio data tu hao ..
 
Pole mwaya......... Kubaliwa yote, Jeanine misifa si uliifurahia?
 
lakini sister wakati anakusifu ww ulifurahi, na pengine alikupa hadi sifa za uongo ukawa unacheka, bas kubali na la pili.
ukifunga goli unafurahi..........ukifungwa........ haya ni ya kawaida tu!!!!!!
pole sana
 
Umezidi ubahili mtoto wa kike. Hata 500...Khaaaaa...! Kalale nae.
 
​naona unakua mtunzi mzuri wa riwaya kaza buti
 
pole sana. Ndiyo kijijini kilivyo wanafikiri mijini pesa ni zakuokota kama kuni au maembe na huyu wa net kuchanikachanikana kuwa na matundu simpati vizuri.
 
Hahahah pole smile
yaani ungempa buku mbili angekusifia mpaka akasema atamtumia obama msg uwe katibu muhtasi wake
 
Ushasema babu mwenyewe CCM sasa ulitegemea nini? Washawahi kuwa na jema hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…