Nimelikosea Wapi? Naomba Mawazo Yenu.

a beautful woman is another men plaything..ni line mojawapo kwenye huo wimbo..thumb up jomba and i like the song mbaya
 
Mmh, umenitisha kwa hiyo statement maana mi pia inanihusu, but kwa upande wangu we do exchange pichaz na kila siku we skype everyday

Hehehehe, try video chat ili akuone vizuri vile ulivyo.Picha wakati mwingine nazo hua zinacapture mvuto ambao hauko kwa wale ambao ni photogenic.
 
Hehehehe, try video chat ili akuone vizuri vile ulivyo.Picha wakati mwingine nazo hua zinacapture mvuto ambao hauko kwa wale ambao ni photogenic.

Unaweza ukakuta picture zenyewe mixer madikodiko ya photopoint...kwenye madikodiko yale kila mtu anatoka mzuri..balaaaa! mtu anajiaminiii anakutana na bonge la soft beibe kumbe.....
 
Kaka kweli hauoni ulipokosea.............tokea mnaona kipindi huna kitu maisha yako ya kubahatisha, sasa umepata hela bado unabahatisha mtoto amepanda ndege wewe umemwacha amejipokea mbaya zaidi hata kupiga simu chukua taxi nitalipa hamna.......halafu unasema una hela.

Kwa kifupi dada wa watu anaona bado unabahatisha maisha hujajipanga maana alikuwa anapicha utakuwa kama rafiki yako.
 
Unaweza ukakuta picture zenyewe mixer madikodiko ya photopoint...kwenye madikodiko yale kila mtu anatoka mzuri..balaaaa! mtu anajiaminiii anakutana na bonge la soft beibe kumbe.....
Heheheheh
Kwa photoshop kila mtu ni mzuri aisee. . . mtu anadata na air brush alafu siku wakikutana anabaki anashangaa.
 
Mmh, umenitisha kwa hiyo statement maana mi pia inanihusu, but kwa upande wangu we do exchange pichaz na kila siku we skype everyday

Nimecheka sana mkuu,duuu sio mchezo wewe tu wapo wengi mbona so usiwe na shaka mkuu,ila ukifatilia hii story inaonekana hawa wenzetu hata hawakuwahi kutumiana hata pics wala ku skype sasa itakuwa wewe kila siku una skype???.....
 
Mhhhh inaonekana wewe umewahi kumfanyia mtu maana umeelezea kutokana na experience yako kabisa,lakini kweli kabisa wala hujakosea wangu..picha na siku mnaonana ikiwa tofauti basi lazima mapenzi yanaweza kupungua na kama ikiwa hivyo then hapo kama ni mimi sitouliza kabisa naanza kumtafuta mwingine mapema maana kama nikiendelea kumfatilia nitaumiza kichwa tu...
 
Kama mwanzo ulienda zenj na ulikua apeche alolo, kiasi cha kufupisha safari na yeye hakujali kiasi cha kukupiga chini, jiulize nini kimetokea baada ya kuja dar? Ulim-bore kwa kuchelewa kumfuata airport. Nina hakika ww ndo uliencourage yeye aje muonane,still ukashindwa hata kuwepo airport mpande wote hiyo daladala kwa mapenzi makubwa. U ar such a mess aisee. Huna kazi mwaka mzima,mipango ya fedha inakusababisha ushindwe kumpokea mke mtarajiwa, halafu unataka kupanga mipango ya harusi? Be the man!
 
Hajakupenda huyo!..... usilazimishe mambo.
 
yaani umemwambia ukweli,im a lady bt nikipanga apointment na m2 huwa nipo pale 15min kabla ya muda na m2 tuliyepanga akichelewa nakasirika kiasi kwamba hata mazungumzo yanaweza kuahirishwa kuwa siku ingne,i hate hate late comers for me its disrespect,and a sign of im not important,tena ukiwa unakuja kunipokea ukachelewa ni mbaya,embu tafuta jinsi ya kurudisha moyo wake umemkosda
 
Labda utuambie kwanza kama uliomba radhi kwa kitendo chako(unaweza kurejea signature yangu)! Je alisemaje? Kama bado hujaomba radhi basi fanya hivyo mara moja.

Sioni njia ya mkato zaidi ya kuongea na muhusika na kumweleza observations zako(kwamba unahisi uhusiano ume/unadorora) na kutaka kufahamu kutoka kwake kama anaona kuna issues zinazohitaji kuwa resolved.
 
hapendwi mtu yapendwa pochi!

Kwenye tatizo la huyu ndugu, nitatofautiana na wewe ndugu Hayaka.
Tupende tusipende, pesa ni muhimu kuwa nayo japo ya kiasi ya kuwezesha mambo muhimu kimaisha.
Huwezi wewe kusema huyu dada anapenda pesa.Kuanzia mwanzo jamaa anaonekana hayuko serious kimaisha.
Hata kupata pesa ya kwenda airport kumpokea mgeni hana?Come on guys! Lets be realistic and serious.
Mtoa mada, kama alivyoshauri The Boss hapo juu, jipange upya ndipo utafute mke.Mtakuja kuishia pabaya
bure kama utalazimisha mambo ilhali hujajiweka sawa.Vinginevyo, tafuta mwanamke mtakayefanana kwa maana ya kutokuwa na mipango iliyonyooka.Atakayeridhika na mipango ya dharura kimaisha. Huyu inaonekana yuko makini zaidi.
 
Letting ur lady be stranded at the airport ama pale ubungo! Kha! That reads 'I got more important issues' At least kama ni sokoni au mjini atafanya lau window shopping. Tena mwanzo hivyo u ar nt excited at all! Sasa mkishaishi miaka 15 si utamuambia chukua taxi?
 
Hhahahaha!!!
 
Haha aha aha ahahaa....
Mapezi ya fesibuku hayoooo.............demu humjui unataka kwenda kumuona ufikie kwake???? Kama wewe ni player u had to knw kwamba type yako ni materialist women......alitegemea ukienda na yeye apate outing kwa gud hotel na sio ukawe mzigo hapo kwake ule chakula na tunda kwa gharama zake......u painted branded u r self as a cheap and parasite.....mtoto wa kiume halali kwa demu kirahisi hivyo.........be ware of kamerunian regime......

Unajiliza hapa wakati hujatuambia hata alikofikia....kama analipia hotel na wewe upo tu kama sofa unategemea akuchekee wakati uchumi wake unateketea........be of u r age son

Wanawake wana-stage za kutupima na unatakiwa uwe makini sana...kuna kipindi anakuachia tuuu ubwabwaje weee ye anasikiliza tu anasubiri ujicommit asonge next stage.......ukijicommit kama ulivyofanya wewe kwa kutaja ndoa ndo ule upole wake na usikivu wa kupitiliza vinaanza kupata true colour hapo mpwa bibie anataka kuona "milestone" ya uhusiano wenu.....unfortunately wewe uko nsecond stage na strategy za first stage hapo utasaga mawe kwa eyelids na hakuna utaloambulia.......unadai cash c issue....airport ziko taxi y ddnt u arrange 1 for her kama ulikuwa mbali au hata angechukua then ukalipia wewe????

Halafu dogo ujue kuna umri wa wanawake si wakuchezea hovyo......wanakuwa serious n desperate na marriage ukishangaa utamkuta kwa mama yako......kashajitambulisha kama rafiki yako tangu siku nyingi sanaaa na mmesaidiana kwa mengi...upoooo??

Shukuru huyo muelewa kakupa carry over uendelee mwingine saa hizi kashakugonga disco na kashachapa lapa kitamboooo
 
Mimi na kushauri hivi, wewe wacha naye sababu mpaa mda huu we hujui anakupenda au hakupendi -kama kakupenda utaona mwenyewe anajileta....Mwanamke kama kakupenda hakuna cha kumzuia,,,,na kama hajakupenda hata uwe na ma million utaishia kula kwa macho.....😛oa
 
1. Kasake pesa, jipange kimaisha, inaònekana mwanamke kakuzidi. Mara nyingi wanawake wanataka security labda kaona hamna kitu

2. Umeona wapi unamtembelea mwanamke anakuruhusu ulale kwake kwa sababu tu u mgeni wake?

3. Umemuuliza kwa nini mawasiliano yamedorora, yeye ndo akupe jibu then utajua nini cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…