Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

+255 683 665 220 namba ya jamaa yupo sokoni chanika,mzigo wowote ulio nao wewe na wakulima wenzako mnaweza leta.kama mna supply ya uhakika
 
Kilimo bn πŸ˜„ nahekari nimelima ya bamia let me tell you zinaenda ozea shambani 😒 masoko hakuna kabisa
 
Kilimo bn πŸ˜„ nahekari nimelima ya bamia let me tell you zinaenda ozea shambani 😒 masoko hakuna kabisa
View attachment 3140501
Pole aisee ila hongera Kwa juhudi zako.


Kwa ushauri wangu kabla ya kuanza kilimo chochote kwanza tafiti masoko mwenyewe achana na Yale maneno soko lipo tu mkuu hayo yanapotosha maana ni maneno ya jumla lipo wapi bei ikoje ya kununua sokoni au shambani ni bamia aina gani inapendwa sokoni hutojua kbisa hongera Kwa juhudi pole Kwa hilo la ukosefu wa soko nalielewa maumivu yake
 
Azitunze tu atauza mbegu kwenye viwanda wanavyozalisha mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…