fortuner Member Joined Jul 9, 2013 Posts 75 Reaction score 97 Dec 25, 2016 #1 Kiukweli nimelimiss sana ile tangazo la mkuu wa kaya "Kwa Unyenyekevu mkubwa nawaomba Kura watanzania wote nawaahidi sitawaangusha Nitawatumikia kwa unyenyekevu mkubwa,asanteni"hasa lilisikika Clouds fm
Kiukweli nimelimiss sana ile tangazo la mkuu wa kaya "Kwa Unyenyekevu mkubwa nawaomba Kura watanzania wote nawaahidi sitawaangusha Nitawatumikia kwa unyenyekevu mkubwa,asanteni"hasa lilisikika Clouds fm
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Dec 25, 2016 #2 kwani samaki akishanaswa kwenye ndoano anawekewaga chambo tena
Kalamu Yangu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,056 Dec 25, 2016 #3 Mie hakunibeba sikuwa na hofu ya kuangushwa Mabarabara[emoji23][emoji23]
Rweye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,057 Reaction score 7,611 Dec 25, 2016 #4 Na lile la ukinunua dai risiti na ukiuza toa risiti ...kenge kummaji!