Nimelipa tiketi ya 5000 juu imeandikwa 6000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tumekuwa tukiuziwa tkt za 5000. Kwa 8000-10'000. Naona hilitatizo limeisha!

Ila leo kidogo imekuwa kinyume, nimelipa 5000. Nilipokaribia getini nikasoma imeandikwa 6000!!dini yangu airuhusu dhuluma nikawahi kwenye gari pengine nimewadhulumu 1000; ama amenipa kwa bahati mbaya tkt isiyo haki yangu! nikashukuru aliposema wee nendanayo!

Swali niwalikosea ama kunasehemu wanadai wameuza za 6000 Zote!!

bado nikajiulisa wanaendaje kujibu huko kwa kuuza tkt ya 6000. Kwa 5000!

!ilibidi nianze kuangalia imeandikwa nani na nani nakumbuka enziza tenga biliingia simba na yanga tkt imeandikwa
brazil vs taifastars unafanyaje !!

nikainga uwjani saafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…