Nimelipenda busu hili

ah! mbona wote jinsia moja? anyway, hata mimi nimeipenda! unanikumbusha ile ya kale hapa jamiiphotos!!


 
na hii imekaaje mfunyukuzi??? kuna hiyari pande zote mbili katika busu hili??

 
Ndio kitabu gani hicho mkuu



rutunga
ni mkuu mwenzetu huyu jamaa kutoka mkoa wa kagera wilaya ya nkenge unaweza kuitembelea profile yake hapa

nilikuwa nafananisha mdomo wake na yule mzungu wa very kissable!!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…