Nimelipia kifurushi Startimes tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia

Nimelipia kifurushi Startimes tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia

Joined
May 23, 2023
Posts
65
Reaction score
136
Nimelipia kifurushi tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia
Nafanyeje hapa au ndo nishaliwa?
 
Kama meseji za malipo haijaja huwezi kudhulumiwa, huenda pesa haikufika mahali husika(startimes) subiri saa24 baada ya malipo (wanahesabu siku za kazi leo hadi kesho).
Pesa itarudishwa kama haitafika, kama ikifika utaambiwa kwa SMS.

Kama SMS imekuja wapigie startimes waactivate kifurushi.
 
Back
Top Bottom