A
Anonymous
Guest
Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET).
Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”.
Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda tunaambiwa kuna tatizo kwenye system, imeenda hivyo mpaka dirisha la kuomba vyuo muda wake umeisha.
Inasikitisha sana kila tukienda wanatuambia "bado", kitu kinachofanya tusitimize ndoto zetu wakati barua tumeandika na pesa tukalipia.
Nifanye nini? Hawa watu wanatuzungusha sana wiki tunaenda ofisini kwao hakuna msaada, ni kama wanatuona hatuna kazi za kufanya, nimekwama kwenye mambo yangu mengi kwa ajili yao.
Hizi baadhi ya Taasisi za Serikali zinatakiwa kufanyiwa mabadiliko, watu wanafanya kazi kimazoea sana.
Majibu ya NACTEVET ~ NACTVET: Malalamiko kuhusu vyeti yanatakiwa kuwasilishwa kwetu kwa maandishi