PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,208
Wakuu habari za Wakati huu
Wale wa kwetu jamakanza.
Moja Kwa Moja kwenye mada naiamini sana company ya Silverland Tanzania kwa uzalishaji wa vifaranga bora wa Sasso na nimekuwa nikilipia na napokea mzigo bila wasiwasi wowote.
Lakini kwa sasa ni zaidi ya wiki saba tangu niagize vifaranga, wakala wao hapokei simu yangu tena either anambie kuna changamoto gani iliyopelekea nisipate kwa wakati mzigo wangu kwa maana sio mara moja wala mara mbili kuagiza vifaranga na wanakuja on time!
Sasa nimeingiwa hofu, mwenye no zao wahusika wakuu anitumie niwasiliane nao.
Natanguliza shukrani za dhati